Je, Top lemon plus inachubua?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Huwa sipendi mwanamke wangu atumie cream ya aina yoyote au mafuta yatakayo mbadili rangi yake ya asili au kumfanya kuwa mweupe,, kuna mtu kamshauri kuwa top lemon ni nzuri,,
Naomba ushauri wako kama haitamchubua au kumletea madhara mengine
 
Hiyo harufuu hapana kwa kweli jichange mnunulie mafuta mazuri bhana
 
Jamani tupo 2023 bado tu kuna watu wanatumia hii kitu 😂😂 hii mafuta ilikuwa inatamba miaka kumi imepita hiyo harufu sasa changanya na maji yake 😂😂
 
Jamani tupo 2023 bado tu kuna watu wanatumia hii kitu [emoji23][emoji23] hii mafuta ilikuwa inatamba miaka kumi imepita hiyo harufu sasa changanya na maji yake [emoji23][emoji23]
Nikweli kiongozi inaharufu kali san
 
Hiyo tunaita kipako

Kiongozi njoo nikuuzie mafuta mazuri babe wako atunze ngozi

Anachokitafuta hapo atakipata hautamtamani hata
[emoji1][emoji1][emoji1] kipakoo!
 
Jamani tupo 2023 bado tu kuna watu wanatumia hii kitu [emoji23][emoji23] hii mafuta ilikuwa inatamba miaka kumi imepita hiyo harufu sasa changanya na maji yake [emoji23][emoji23]

Sio kumi mi nimetumia miaka ya 2003 uko olevel [emoji28]
 
Mkifika mijini basi kila mtu anajifanya mjanja kumbe ni wa kuja .

Hiyo top lemon mnayosema ya kitambo iko katika bei za mkimbizano hapa mbeya sababu inachukuliwa Zambia inavushwa inaletwa hapa .

Sasa ulimbukeni wenu ndiyo kila mtu anasema ni ya zamani mara yanaharibu watu swali ni je why yawe mengi mikoani ? Je watumiaji hawajui ni ya zamani ?

Punguzeni ushamba kitu hakiwi kibaya kisa tu ni cha zamani hapana ila ikiwa hakikidhi mahitaji .

Ndugu mtoa mada pole na kelele za malimbukeni ila nikujuze kuwa ni nzuri ila jaribu kutumia namba 5 na namba 4 hizo zingine zinawahitaji watu wa rangi ya chocolate tu ila sio mweusi au mweupe .

Thanks.
 
 
Kwan ni uongo?? Yanaharibu ndio yapo mitaani sababu ni bei chee
ww ndio mshamba na limbukeni sit unampa ukweli sasa ashajuzwa yanaharibu ww jifanye kumuambia sijui atumie namba mbili sijui tatu achubuke kama Kenge, Kwan kuwa kila kona mbeya ndo nn tunamwambia ukweli ww unatuita malimbukeni mbona umepaniki?? Ww mwenyewe upo nje ya mada kwaiyo kama yapo mbeya kila kona sisi tufanyaje
 
Nisome vizuri bwana mdogo
Sitaki nianzishe majibu na wewe sababu hutaweza .

Soma tena alafu njoo then uliza maana ya limbukeni ni nini ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…