Wakuu Salam,
Moja kwa moja kwenye mada tajwa, naomba uzoefu wenu wa aina hii ya gari "urban cruiser"
Kuna ambayo ni manual yanatumia diesel na kuna Auto yanayotumia petrol [emoji618] japo zipo chache kwenye site za magari ya japan ( befoward, Sbt..etc) je ni gari ya kuaminika?
Nina fikiria kulimiliki kwa siku za karibuni , ama yana changamoto kubwa ukiacha airbag ambayo imeonekana ndo mapungufu ya hizi gari.