Songuo Member Joined Sep 28, 2012 Posts 9 Reaction score 1 Oct 27, 2018 #1 Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine iliyotokana na kosa la barabarani? Je, hiyo ni kazi ya traffic poice au ya TRA? Naomba na reference tafadhali ikiwezekana!
Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine iliyotokana na kosa la barabarani? Je, hiyo ni kazi ya traffic poice au ya TRA? Naomba na reference tafadhali ikiwezekana!
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 1,499 Reaction score 2,667 Oct 27, 2018 #2 dawa ya deni ni kulipa.
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 230 Mar 15, 2019 #3 hakuna muelekeo wala muongozo kila kitu ni mihemko tu tupambane tu hakuna wa kumsaidia raia