Je Trey Song ni Shoga?

Je Trey Song ni Shoga?

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,558
The hit maker wa "Heart attack" na RnB super star Trey Songs bado anasumbua kwenye social networks kuhusiana na ishu yake ya kua shoga.
Kupitia ukurasa wake wa tweeter aliwahi ku-confess kua yeye ni shoga.

ImageUploadedByJamiiForums1399396529.614382.jpg

Ila baada ya muda aliifuta tweet hii baada ya kupata comments nyingi na idadi ya walio retweet kua kubwa hasa mashabiki wake ambao wengi ni wadada,baadae ikasambaa picha ambayo ilikua na utata hasa ikumuonyesha Trey Songs katika hali tata.

ImageUploadedByJamiiForums1399396743.700376.jpg

Soon baada ya picha kuvuja Trey Songs alikimbilia kwenye ukurasa wake wa tweeter na kukanusha hiyo picha akiita ni ya photo shop though akusema kuhusu tweet yake ya mwanzo.

ImageUploadedByJamiiForums1399396858.452197.jpg

Je Trey songs ni GAY?muda utaongea ila tunasubiri na celebs wetu wa bongo pia waanze kujitangaza kuondoa utata na dhahania juu yao.
 
ukipata time nenda you search gay rapper exposed utashtuk humo with ploofs za kutosh wakin dirty money n etc ni bisexul
 
wabongo bhana kweli mamburula mshaambiwa all game and jokes aside .....yaani maana yake ni utani na masihara lakini bado tu mnaendelea kungangania
usa kuna kitu kinaitwa stunt kibongobongo ni kick unaweza kua na beef na yeyote ili kuuboost mziki wako
 
we ni mkenya
 
Mahandsomer haoooooo kusifiwaaa we mzuri matokeo yakee hayooo ptiuuiuuiuuu Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Hkuna cha kik wala stunt ni bwabwa tu hyoo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hizo picha ni photoshop na kuna account ya twiter si yake ni ya kutengeneza.

Mwenyewe halikanusha
 
kama wewe ni shoga haiwezi kua siri watu watajua sababu ufanyi peke yako hayo mambo na kama unavyojua kila mtu ana mtu wake anaemuamini unavyomwambia mwenzako akutunzie siri na yeye anaenda kumwambia mwingine amtunzie siri so ingefahamika tu
 
ukipata time nenda you search gay rapper exposed utashtuk humo with ploofs za kutosh wakin dirty money n etc ni bisexul

Mkuu nlipata katym na nkafanya hivo nmeona meng bt supprised sana na habar ya drake kua ni illuminant gay then wife wake ni weezy na video ipo u tube daah bado nalifatilia hili

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Du!!
Inanishangaza kwa jins mashoga wanavyojitokeza.....

Utadhan kama kuna dna ya ushoga ambayo huwa inasubiria tarehe yake tu........
Inakuwa imelala siku ikifika all z sudden mtu anajitangaza ni shoga....aiseee!!!!!
 
Kuwa Gay na kuficha Inakuwa kama mzigo mioyoni mwao, so kuna siku wanahamua kusema hadharani ili kuutua huo mzigo, wenyewe wanaita kwa kizungu, ku COME OUT OF CLOSET...
 
Back
Top Bottom