Je Trey Song ni Shoga?

Ona nana naannaa...I like trey despite of him being a gay..no hard feelings
 
Ona nana naannaa...I like trey despite of him being a gay..no hard feelings

Haaaahaa wengine kwa hasira wamefuta nyimbo zake kwenye maktaba zao,hongera kwa unachoamini.
 
Kuwa wakwanza kusikiliza na
kudownload official audio:
Diamond platnumz - kitorondo
 
Kuwa wakwanza kusikiliza na
kudownload official audio:
Diamond platnumz - kitorondo

Sijamuelewa kafanya nini kwenye hii joint sijui mchiriku au vanga labda kapuku nimesikia mikelele tu ngoja labda production ikiwekwa sawa.
 
Account ni yake tena verified...angesema wamehack sawa
...btw jamaa ni msweet asee..mi ngekulaa
 
Account ni yake tena verified...angesema wamehack sawa
...btw jamaa ni msweet asee..mi ngekulaa

Nini?........Kiboga? Aisee watu mnaroho ngumu! kweli kabisa na kengere zinaning'inia wewe unaendelea kula 0713?
 
Nini?........Kiboga? Aisee watu mnaroho ngumu! kweli kabisa na kengere zinaning'inia wewe unaendelea kula 0713?

Watu wana roho ngumu aisee! posta dsm alipita mzee mmoja wa kichaga wakili ana fedha mbaya, jamaa akaniambia yule mzee ni choko na analiwa na dogo mmoja hata 30 hajafika tena tuko naye maskani palepale. siku dogo akiwa na fedha nyingi ujue ndio katoka kumshughulikia huyo mzee, dah! sikuamini aisee! kweli watu wana laana!
 
Kwa Trey siamini!
Ila najiuliza sijawahi kusikia skendo za jamaa akiwa na madem au sijawahi kumwona akiwa na dem sana sana yupo close sana na mama yake kila anapokwenda
 
Kwa Trey siamini!
Ila najiuliza sijawahi kusikia skendo za jamaa akiwa na madem au sijawahi kumwona akiwa na dem sana sana yupo close sana na mama yake kila anapokwenda

Tatizo la kujiremba sana mara asifiwe HB akaona ngoja ahamie kwa dada zake ndo ivyo tena wahuni wanapumzika kwake.
 
watoto wazuri wazurii kama hawa walamba midomo wengi mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…