Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?