Kwani marekani ni nn mpk isiendeshwe na mwanamke? Hio mambo ya jinsia wenzetu hawajali hta shoga anaeza waongozaMarekani ina wenza kuongozwa na mwanamke kweli !?!?!?!?!?!?!?
Trumpy so desperate 😀🤦🏾♂️Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?View attachment 3073444
Hawezi kuwa mkomunisti, wakomunisti ni watu wengine kabisa na wenye misimamo mingine kabisa ambayo sijaiona kwa Kamala au mmarekani yoyote mpaka sasa.Fattilia Kwa Nini kamuita mkomunisti. Hata CNN wamegomea sera mpya ya uchumi ya Kamala
Tupe takwimu ni ma rais wangapi wa kike waliowahi kuiongoza marekani hadi sasa?Kwani marekani ni nn mpk isiendeshwe na mwanamke? Hio mambo ya jinsia wenzetu hawajali hta shoga anaeza waongoza
Trump ana miaka 78 ambayo zaidi ya umri wa Nyerere wakati anafariki. Lakini ana akili ya kitoto sana utadhani mtoto wa Form 2 anayeishi bweni.Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?View attachment 3073444
Ame panicTrump ameanza kuwa desperate anaona kuwa safari hii anashindwa na Mwanamke tena Mwanamke mweusi😂