Je, Tsh 100 ya note ya zamani iliweza nunua nini?

Je, Tsh 100 ya note ya zamani iliweza nunua nini?

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
9fa0b0b782cb0888384ba3bd942a47c5.jpg


Kama ulikuwepo enzi hii pesa inatumika. Je iliweza nunua nini?
 
Hiyo ilitoka 1987 kama sikosei...mimi nilinunuwa viatu vya shule 250
 
Ada ya shule ya msingi kwa mwaka
 
Back
Top Bottom