Je, Tuendelee kuamini kuwa future zetu zimebebwa na Ajira??

Je, Tuendelee kuamini kuwa future zetu zimebebwa na Ajira??

Joined
Oct 8, 2018
Posts
34
Reaction score
25
Je, Tuendelee kuamini kuwa future zetu zimebebwa na misingi wa Ajira??
Na hatutakiwi kuamini katika kufungua fahamu zetu juu ya kujifunza na kubadili mwelekeo??

IMG-20250312-WA0069.jpg
 
Ukweli ni kwamba ajira ni chache na watu ni wengi.Pambana kujiajiri ili uajiri wengine
 
Ki-uhalisia, hakuna mtu asiye na kazi/shughuli maana maisha ni mapambano. Fursa ikija mbele yako ni kuichangamkia. Mwaka jana mlinzi wangu wa ofisi aligombea u-Mweyekiti wa kijiji na akashinda, hivyo ajira ikamwangukia mtu mwingine!
 
Ajira ni nzuri ukiipata ili uweze kujijenga. Lakini ukiikosa sio issue jijenge taratibu mwisho wa siku utafikia ndoto zako.
 
Back
Top Bottom