Je, Tuendelee kuamini kuwa future zetu zimebebwa na Ajira??

Ukweli ni kwamba ajira ni chache na watu ni wengi.Pambana kujiajiri ili uajiri wengine
 
Ki-uhalisia, hakuna mtu asiye na kazi/shughuli maana maisha ni mapambano. Fursa ikija mbele yako ni kuichangamkia. Mwaka jana mlinzi wangu wa ofisi aligombea u-Mweyekiti wa kijiji na akashinda, hivyo ajira ikamwangukia mtu mwingine!
 
Ajira ni nzuri ukiipata ili uweze kujijenga. Lakini ukiikosa sio issue jijenge taratibu mwisho wa siku utafikia ndoto zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…