Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo na tafiti zilizopo, bado wataalamu wanasigana kwenye ubora dhidi ya ubaya wa mafuta yapatikanayo kwenye nazi.Habari wakuu,
Je, kwa mgonjwa wa presha/ kisukari ambaye ana jaribu kuondokana na vyakula vyenye mafuta, ni sahihi kula vyakula vilivyo ungwa kwa Tui la nazi ama karanga?
Natanguliza shukrani
Shukrani sana mkuuKwa maelezo na tafiti zilizopo, bado wataalamu wanasigana kwenye ubora dhidi ya ubaya wa mafuta yapatikanayo kwenye nazi.
Hili linalenga zaidi kwenye:
1: Nazi kuwa na uwezo wa kuongeza mafuta mabaya(LDL).
2: Nazi kuwa na viinirishe vinavyoukina moyo thidi ya magonjwa/cardio-protective.
3: Nazi kuwa na manufaa ya mafuta mazuri/yanayohitajila mwilini(HDL).
4: Nazi kuweza kusaidia mpangilio mzuri wa mafuta husika.
Ushauri:
1: Kama unaweza kupata mafuta ya alizeti au olive ni bota zaidi.
2: Kama ndio mafuta pekee unaweka kupata ulipo, basi tumia kwa kiasi kidogo (wastani mdogo sana).