Naunga mkono hoja.....tukemee kila aina ya ubaguzi wenye nia ovu.Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!
Mchechu ambaye ni kichwa kubwa aliondolewa NHC kwa chuki ya wakaskazi iliyofanywa na magu na watu wake. Watu hawa bado wanaogopwa kwa kasi yao.Kimei bila shaka. Kuna jamaa mwingine aliigeuza NSSF kuwa kitengo cha dini. Nasikia ni Balozi hivi sasa. Sijui naye atarudishwa kitengoni kwake kama alivyorudishwa Mchechu pale NHC!?
Unamzungumzia Mtei yupi huyo????Magufuli alikuwa nafanya Serikali kama Mtei alivyo kuwa Boss wa CRDB.Mtei amejaza wachaga CRDB unaweza ukahisi ni Bank ya Wachaga-kati ya Wafanyakazi 10 wa CRDB 8 ni Wachaga.
Wengi saaaaaaana, we angalia tenguzi za Mama Samia ndio utajua yule fala aliweka wasukuma wenzake kila eneo.Hivi katika utawala wa Magufuli wasukuma walioteuliwa walikuwa wangapi ?!
Inaonyesha wewe nae ni mzanzibari ndio maana unatetea huo ushoga kwa kusema et una athari kwa wanaofanya tu, mnaanza kulawitiana tokea udogoni na hizo kesi mnazimaliza tu nyumbani kuficha aibu na matokeo yake ndio maana mnatengeneza jamii kubwa ya mashoga hadi jeshini msipoangaliwa mtatuletea Rais punga siku moja.Ushoga una athari kwa anayefanywa, ila mauaji huleta athari kwa jamii nzima. Ushoga ni wao, sisi tuko hapa kwa upumbavu wenu na ushamba wenu. Shukuruni mm sijaupata URAIS mngekula chanjo za sumu wapumbavu nyinyi. Nchi hii mliifanya kama mko peke yenu.
Hakuna cha kuisha hapo ubaguzi wa waziwazi ndio umeanza sasa unaishaje? Huyo Magufuli hakuwai kuanzisha kundi lenye kuitwa sukuma gang.Muasisi wa hilo genge ndiyo aliyekua Msukuma One, tulieni dawa iwaingie, of cause with time, hii sentiment itaisha
Paskali,Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.
Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchopuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au roache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?
Nimeileta hoja hii kufuatia as days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
The Mkuu Sexless , kwanza nikupongeze kuileta hoja hii, pili japo ni kweli neno Sukuma Gang ni itikadi tuu, lakini si kweli kuwa iliasisiwa na Magufuli!. Tumwacheni Magufuli apumzike kwa amani!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Neno Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!
Pia sii kweli! bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Hapa nakuunga mkono!
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema! Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!
Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.
Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.
Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang! This is not fair at all! Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!
Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!
Paskali
Naunga mkono hoja! Bora waitwe walinda legacy!!!Wanabodi,

Ni sawa sawa na kusema Wabaganda walionewa na Obotte huko Uganda. Mfalme Kabaka wa Uganda naye alipewa mamlaka ya utawala wa ndani kwa sababu Uingereza iliafiki na kufurahia namna alivyokuwa anatawala lakini siyo kujitenga na Taifa la Uganda. Halikadhalika kwa Marealle alipewa utawala wa ndani siyo kwa sababu wachaga walinyanyaswa bali mfumo wake wa kutawala kukubalika na Uingereza lakini siyo kweli kuwa Uingereza ilitaka kuipa dola chagaland.Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.
Aliowatengua hawajafika hata watu kumi ! Ndio wengi hao ?!Wengi saaaaaaana, we angalia tenguzi za Mama Samia ndio utajua yule fala aliweka wasukuma wenzake kila eneo.
Kwa dhana halisi ya ubaguzi wachaga ni nambari one hapa Tanzania na wasingedhibitiwa katika nafasi za kisiasa ungekuwa balaa nchi hii. Kinachofurahisha hivi sasa ni kuwa wameoa na kuolewa karibu na makabila yote hapa nchini hivyo kusawazisha kwa kiasi fulani ubaguzi wao.Kwa hyo wewe unaowajua ni Mramba, Kitilya na Kimei sasa who are they by the way? Mbona kwanza walikua ni watu wadogo sana kwenye hili Taifa hivi hao mnaowataja bila ya kuwa na locuss wala impact kwenye hili taifa tena vidagaa wadogo unadhani waweza mlinganisha na Impact ya MAGU? nani asiyejua Magu alimweka Biswalo DPP kutoka kwao AG.Kilangi, nenda BRELA nenda TRA nasema hivyo hao watu nimefanya nao kazi yani kama sehemu nyingine sitaki kusema hata madhambi yao ila mtashughulikiwa tu ilikuwa hupati huduma mpaka uongee KISUKUMA Shamee!!
Lakini si kafungisha team akaja kusaidia kusawazisha bao?Nyerere aliona mbali sana makabila makubwa ni sumu kwenye uongozi wa Nchi,Wasukuma,Wachaga,Wanyakusya na Wahaya maana watajazana kwenye nafasi zote.
Kikwete alifanya vibaya sana kwenda against mtazamo wa Nyerere na matokeo yake ndio hayo tuliyoyapata.
Nyerere aliufuta ukabila baada ya kuwaondoa machief uongozini !! Sasa hivi hakuna Ukabila bali umebaki undugunaizesheni !!Kwa dhana halisi ya ubaguzi wachaga ni nambari one hapa Tanzania na wasingedhibitiwa katika nafasi za kisiasa ungekuwa balaa nchi hii. Kinachofurahisha hivi sasa ni kuwa wameoa na kuolewa karibu na makabila yote hapa nchini hivyo kusawazisha kwa kiasi fulani ubaguzi wao.
Mzee mm sio Mzanzibar, mm nimechangaya HAYA + MAKONDEInaonyesha wewe nae ni mzanzibari ndio maana unatetea huo ushoga kwa kusema et una athari kwa wanaofanya tu, mnaanza kulawitiana tokea udogoni na hizo kesi mnazimaliza tu nyumbani kuficha aibu na matokeo yake ndio maana mnatengeneza jamii kubwa ya mashoga hadi jeshini msipoangaliwa mtatuletea Rais punga siku moja.
Wana ndoto ya kuongoza hii Nchi siku moja.Wasilolijua walishaondolewa kwenye mfumo na haitokaa itokee tena wakashika nafasi nyeti kama walivyokuwa wamezoea miaka mingi.Kwa sasa hasira zao zote wameelekeza kwa Wasukuma na kuanzisha vita vya maneno visivyokuwa na kichwa wala miguu.Waendelee tu kusikilizia M/Kiti wao anaendelea kubugia asali mpaka hawezi funua mdomo kuongea chichote.Wachaga kaeni mkijua hata ninyi hizo nafasi nyeti hamtapewa.mnaruka humu Kama popcorn as if mmekabidhiwa wizara nyeti.
Kumbe asali ya kijiko tu.
We mwehu nini, fuatilia hizo Tenguzi tena.Aliowatengua hawajafika hata watu kumi ! Ndio wengi hao ?!
Jiulize kwanza kwa nini ni sawa Mtu mweusi kumuita majina ya Kibaguzi Mzungu lkn Mzungu akifanya the same kwa mtu mweusi anaweza hata kufunguliwa mashitaka kwa Ubaguzi? Jibu ni power, mtu mweusi ni weak na Mzungu ni strong ndo maana pia inakubalika kuita Sukuma gang na kukejeli Sukuma jinsi utakavyo lkn Msukuma haruhusiwi kufanya the same kwa wengine bila ya consequences.
Hivyo kwangu Wasukuma ni powerful na wengine ni weak ndiyo maana weak wako sensitive.
Fikiria tu kwa mfano kilema cha macho alichoumbwa nacho Mbowe labda angeumbiwa nacho Magufuli hali ingekuwaje, unafikiri wangemsitiri kama Mbowe anavyositiriwa? Hata watu wanaomchukia Mbowe bado wanamsitiri sijawahi kusikia mtu akikejeli macho ya Mbowe lkn ule upande mwingine wasingejali hivyo ni swala kukosa power, maturity na pia lack of boundaries, Wasukuma wanajua wanajitambua na wanajua power yao na wanaowakejeli ni weak na cowards!