GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015.
Hongera kwa Kuwawahi Wamachinga na kuonyesha Kwako kuwa Unawajali, ila tunao Kaa nao 24/7 labda tukupe tu Ukweli ambao ama huambiwi au unafichwa na Wanaokuzunguka kuwa hawakupendi na kuna walichokiahidi kukifanya ili Kukuthibitishia Mwezi Oktoba 2025 katika Chumba cha Peke yako huku Karatasi ikikutizama, Kalamu ikiwa Mkononi na Uso ukiwa umejaa Usununu ( Hasira ) tupu tu.
Cc: Bila bila, Daudi Mchambuzi, adriz, Tate Mkuu etc