JE TULIOLIPIA VING'AMUZI VYA AZAM KISHERIA TUNALINDWAJE?

davisoni

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2014
Posts
410
Reaction score
435
Habari wanaJF.
Naomba kujulishwa juu ya haki zetu wateja was hivi visimbuzi vilivyopigwa pink kuonyesha chaneli za ndani.
Je Kwa sisi tuliolipia gharama za mwezi,ili kupata huduma za ndani alafu gafla huduma imekatwa bila fedha zetu kurudishwa,je kisheria inakaaje hiyo?Hivi MTU akilipia gharama ya kisimbuzi si anakuwa ameingia mkataba wa kupata huduma?
Naomba ufafanuzi wajuzi wa sheria.
 
Hata walioruhusiwa nao wamepewa dead line ya kulipa madeni yao so wakishindwa tz only TBC ndo itaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…