Msiba wowote wa kufa au kufiwa Chawa au kiongozi wa CCM ni Furaha na vifijo Kwa sisi tulioonja dhuluma,ukatili,na Kila aina ya manyanyaso.Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.

msukule mama yako alizaa kibwengo cha mfano wa tulia kama weweWe msukule uko na wananchi? Mmejaa roho mbaya mtakufa na ufukara wenu huo
Hii Kauli yako ina maana kubwa sana kuna yule wa jumba jeusi hana muda naye ataondoka kweli tujifunze kuvizoea"Vifo ni vifo tujifunze kuvizoea", sauti toka nyikani ilisikika na parapanda haikulia.
Ndio huu msiba NI WA ccm cha ajabu wanataka uwe WA watanzania woteAtapewa pole na Samia
ngoja nikawakumbushe wasisahau chumvi na viungo,...mjomba anatakiwa arudishwe kwenye reliHuko Twitani watu wanampika Mjomba 😃
Msiba wa mtu mmoja wanataka kuufanya uwe wa taifa zima. Tena kifo cha kawaida vipi kuhusu wanaotekwa?KIFO NI KIFO tuu , acheni kuzua taharuki mitandaoni
mkuu hapa ulilenga kuandika ayaa ya mwisho. ila umeiweka kitaalamu sana.Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pemki
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Hahahahaha! Aisee, watanzania haya maneno sijui wanayatoaga wapi? nimecheka Kwa sauti kuu!Kuna jamaa kule X kakomenti"Nimejaribu kuvaa viatu vyake nikakumbuka kumbe hata halivaagi viatu.