Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Mkuu ndio mpaka umfungulie uzi?Najua uzi huu utafutwa ila nami niungane na watanzania wenzangu kumpa pole Mrisho Mpoto..
Namkumbusha pia kifo ni kifo tu..
Uchungu huu unaopata sasa ukukumbushe kuwa familia ya Kibao, Mdude, soka n.k
Nao wamepitia tena bora yako wewe umeona mpaka maiti ya mke wako ikiingizwa kaburini..
Ni kweli huhusiki na hayo yote..
Lakini kwasababu na wewe ni mmoja wa wawasifiaji wakubwa wa Sisiemu basi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu..
Ni bora ugali tembele na kuishi kwa amani kuliko pilau nyama na masimango..
Pole mkuu Kifo ni kifo tu
Kwa Nini bana?Kwani c wamesema kifo ni kifo tu.mbona unataka kuzua taharuki jamani?Duuuu
Wabongo mmenishinda tabia
Nahisi ameshapitia,sababu kuna clip anawakalamikia waja,wasimuhukumu marehemu kama makosa ni yake(Mpoto).Mpoto akipitia ile post ya taarifa ya kifo cha mkewe instagram, naimani kuna funzo kubwa sana atakuwa amelipata
Mkuu umecheka kama mimi πππHahahahaha! Aisee, watanzania haya maneno sijui wanayatoaga wapi? nimecheka Kwa sauti juu!
Huwezi kuwaona kwa sababu hawana mbadalaMnaanza na Big Papas wanaomiliki uchumi na kufadhili mfumo kandamizi, hawa machawa wengine ni "kujichumia dhambi" tu.
Watanzania ukiwaambia kumtukana Mrisho Mpoto watajaa.
Lakini ukiwaambia kususia biashara za Mo Dewji, Rostam Aziz, Bakhressa na Abood, huwaoni.
Vipaumbele.
Labda ndiyo muda wa watu kutengeneza mbadala. Hii ni fursa pia.Huwezi kuwaona kwa sababu hawana mbadala