hapo tuliingizwa mkenge, ndo hao wanachanganya mchanga debe saruji kijiko cha chai kwenye ujenzi....ninini hiyo? kwani walikuwa wanajenga kwaajili ya juwa tu, hawakuwa mainjinia wanaojua kujenga na barabara za masika? hapo lazima fungu la kumi lilishatolewa ikapunguza vitendea kazi,watu wakafanya tu alimradi changa la macho, wakachukua chao na kulala mbele.