Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Upuuzi huu umeutoa wapi, wapi Lissu kasema watu wasiende kupiga kura!
Akili nyingine bwana!
Mimi ni ccm lakini nimemuelewa sana anasema mawakala wa vyama vyote ni lazima wawe wametimia na wote wawe wameapishwa na wote ni lazima wapatiwe nakala za matokeo baada ya zoezi la kupiga kura YAELEKEA JAMAA ANAPENDA SANA MAMBO YA HAKI HUYU
Acha uongo hivi ninyi MATAGA huwa akili zenu zina nini?
WASIWASI NI AKILIAnahofia kushindwa, ametafuna pesa za Robertson wa Amsterdam na anajua hapati kitu
Kwahiyo anawasiwasi
Uchaguzi rahisi wakati unaona Mh.ameanza kupiga magoti na kuomba kura?Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%
October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Uchaguzi rahisi wakati unaona Mh.ameanza kupiga magoti na kuomba kura?
Mwache aweke mpira kwapani, atakuja kushituka kashanyolewaaaa
Mi swali langu la msingi daftari la wapiga kura limeshahakiki na kuhuisha wapiga kura wangapi kwa ujumla Tanzania nzima?
Naanza kuwa na wasiwasi huu uchaguzi watu wengi wanaweza wasipige kura.
Naomba tujuzane wadau
Hakuna mpuuzi kama huyu mbeligiji wa singidaUpuuzi huu umeutoa wapi, wapi Lissu kasema watu wasiende kupiga kura!
Akili nyingine bwana!