Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
- Thread starter
-
- #41
Jiwe is a country bumpkin, Dr Kisenge asilaumiwe.
Wewe Pimbi hangaika na mwenyekiti wako Jiwe kushindwa kufanya kampeni mgonjwa , hata nusu saa kusimama jukwaani hawezi .View attachment 1602861View attachment 1602862View attachment 1602864
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mikutsno ya Lissu lakini sijasikia akihimiza wafuasi wake waipige kura. Kinyume chake amewatska wajitokeze kwa wingi ili udhindi uwe wa kimbunga.
Ujinga huo tumeushuhudia sana kipindi cha miaka mitano ya Magufuli kwenye chaguzi za marudio.
Chadema hatuna pesa za kuweka mawakala.Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko...
Chadema hatuna pesa za kuweka mawakala.
Hazitoshi si unaona hata mabango tumeshindwa kuchapisha.Za Robert mmezitafuna?[emoji38]