IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Hivi ndugu zangu, wapi tumekosea? Kwanini wao tu ndo wanaona kuwa wanaweza wengine hawawezi. Au wao wamesoma Sana kiasi Kama kwamba wengine NI maamuma Tu?
Nijuavyo Mie hata mjinga ana nafasi na mchango mkubwa kwenye maendeleo. Nasikitika Sana kuwaona polisi wameacha kazi zao za msingi na kuingilia kazi za siasa.
Vipi au wameona hakuna chama kiwezacho ongoza jamhuri hii zaidi ya CCM? Wao kwenye CCM NI makadaaa?? Naomba niambiee maana napata kigugumizi. NCHI HII TUSIPO KUWA MAKINI TUNAIPELEKA KWENYE MOTO WA NYASI.
Sisi bila kujali chama chako au ubosi wako naomba tuwe MAKINI Sana na matumizi ya madaraka yetu...kinyume cha hapo .
Sote Wasomi Viongozi na wasio Wasomi wala viongozi tukiivuruga amani tulaaniwe na mungu na atushushie gharika kuu. Tutakuwa tunastahili Kwa sababu tumeshindwa tumia akili alizotupa