john b kimatare kimaro
Member
- Aug 4, 2014
- 20
- 36
Nchi yenye rasilimali chungu mzima ni Tanzania ila ccm wamezifanya kama shamba la bibi kwa kuzitapanya kama wanavyotaka kwa kuingia mikataba ya kifisadi na ya kinyonyaji. ooh nchi yangu yenye madini ya kila aina, maji ya kutosha, ardhi yenye rutuba na n.k ila masikini wa kutupwa. Je tunakwama wapi mwananzangu?