Je, Tunashindwa Kuajiri Walimu Kwa Kukosa Fedha au Kwa Ubadhirifu?

Je, Tunashindwa Kuajiri Walimu Kwa Kukosa Fedha au Kwa Ubadhirifu?

Ni kwa sababu ya extravagancy! Bila ya hicho kitu, walimu wote waliotapakaa mtaani wangeajiriwa kila mwaka, na pasipo na masharti ya aina yoyote ile.
 
Kwa sababu tunataka kuajiri Wazee huku Vijana wakiendelea kutukanwa mtaani eti "kufeli shule sio kufeli maisha si unamuona yule amesoma mpaka Chuo amefaulu vizuri ila muone sasa hivi alivyo hana kazi hana kibarua yupo yupo tu" alisikika bekitatu mmoja muuza genge lenye vitunguu na dagaa
 
Back
Top Bottom