Kwa sababu tunataka kuajiri Wazee huku Vijana wakiendelea kutukanwa mtaani eti "kufeli shule sio kufeli maisha si unamuona yule amesoma mpaka Chuo amefaulu vizuri ila muone sasa hivi alivyo hana kazi hana kibarua yupo yupo tu" alisikika bekitatu mmoja muuza genge lenye vitunguu na dagaa