Neema ya Bwana YESU kristo.... Na pendo la Mungu... na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae pamoja nasi sote.... Amen.....You are my friend
β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπ₯π₯π₯π₯
Atesatuwe tu hata zaidi ya marafiki mwayaπ
Aaa kumbeMarafiki hupatikana kwa njia zote mbili:
1. kuna wanaokuja wenyewe automatically kutokana na mazingira,
2. Wale unaopaswa kuwatafuta kwa makusudi kulingana na malengo yako.