JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Wapi wamekuhaidi pesa..?Nimejaza fomu nitumie hiyo hela sasa naitegemea.
Mkuu,hiyo issue ni kama ubalozi wa hizo Nordic kantriz wanataka data bila kutoa chochote. Labda kwa urafiki wao na JF. I need my money Maxence MeloWapi wamekuhaidi pesa..?
Sio kila survey inalipiwa😂😂Mkuu,hiyo issue ni kama ubalozi wa hizo Nordic kantriz wanataka data bila kutoa chochote. Labda kwa urafiki wao na JF. I need my money Maxence Melo
Ndani ya fomu kuna kipengele...kinachoonyesha wanagawa pesa...!Wapi wamekuhaidi pesa..?
Unajua nimeenda kujibu maswali yao mpaka mwisho na nimejibu tu wala sitarajii fedha yoyote maana hakuna waliposema wanatoa fedha!, sasa wewe mbona unatutamanisha..? unafikiri hata ukikomalia hili utalipwa shingapi ndugu wacha tamaa zako...😂Mkuu,hiyo issue ni kama ubalozi wa hizo Nordic kantriz wanataka data bila kutoa chochote. Labda kwa urafiki wao na JF. I need my money Maxence Melo
Jamani eeehhh...I need my money. Pages 12 zote? Na maswali mengine ni essay kabisa.Sio kila survey inalipiwa😂😂
Nionyeshe...Ndani ya fomu kuna kipengele...kinachoonyesha wanagawa pesa...!
LBL...🤣Jamani eeehhh...I need my money. Pages 12 zote? Na maswali mengine ni essay kabisa.
Tusitaniane. Nipo nasubiria hiyo hela nikale.
Wala sitanii 😡😡😡
KENZY please....Acha dharau. Wanipe changu Mimi nijikatae.Unajua nimeenda kujibu maswali yao mpaka mwisho na nimejibu tu wala sitarajii fedha yoyote maana hakuna waliposema wanatoa fedha!, sasa wewe mbona unatutamanisha..? unafikiri hata ukikomalia hili utalipwa shingapi ndugu wacha tamaa zako...😂
Au na wewe ni mmoja wao mnatoka kunidhulumu? 😡LBL...🤣
vyovyote utakavyosema ila hapa halipwi mtu yaani cha mtu nnya...😂Au na wewe ni mmoja wao mnatoka kunidhulumu? 😡
Achana na Mimi wewe. Nipeni changuNipigwe ban tu ila kwa hili hapana mkuu wacha tamaa!, Hakuna kulipwa kwakweli lala njaa tu...🤣
Anataka Visa kijana😂😂😂vyovyote utakavyosema ila hapa halipwi mtu yaani cha mtu nnya...😂
Estonia imeongezwa majuzi sasa hivi ni miongoni mwa nchi za Nordic. Norway na Sweden ndo real Scandinavian countries. Finland siyo Scandinavia japo sehem Yake ipo Scandinavian.Nchi za Kinordic; Sweden, Norway, Denmark, Finland na Iceland zinajulikana sana miongoni mwa Watanzania kwa sifa chache mashuhuri—kama vile maisha bora ya wananchi wao, elimu ya bure, kiwango kidogo cha rushwa, usawa wa kijinsia na viwango vya juu vya furaha.
Lakini je, tunafahamu zaidi ya hayo? Je, tunajua kuhusu namna nchi hizi zinavyohusiana na mataifa ya Afrika, teknolojia, tamaduni, maendeleo ya kijamii na ushirikiano wa kimataifa?
Nordic wangependa kujua wewe unafahamu nini kuhusu nchi hizi. Tafadhali jaza dodoso hili fupi hapa chini ili kuzisaidia nchi hizo kuelewa jinsi Watanzania wanavyozifahamu👇👇👇
Dodoso Kuhusu Nchi za Nordic
Dodoso hili ni kuhusu nchi za Nordic, likilenga kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu nchi hizoforms.gle
Unaweza kupata dodoso hilo pia kupia kwenye banner itayokuwa inaonekana hapa jukwaani.

moderator watamchapa ban muache ajifanye amedata tu..😅Anataka Visa kijana😂😂😂