The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,265 Reaction score 20,526 May 9, 2025 #21 Licha ya nchi za ulaya Kuwa wanachama WA treaty tofauti lakini kuna free of movement ukiwa raia WA nchi hizo. Na Wana umoja. Mfano Norway na Ice land hawamo . E U wako Nordic na Schengen l@akini wako kelwenye treaty ya EEA ambayo wako huru. Kufanya kazi popote ulaya. Pia Switzerland na Liechtenstein hawapo EU lla wamo EEA. Bulgaria ,Romania na Republic of Ireland hawamo Schengen ila wamo EU. Bulgaria ipo mbioni kujiunga Schengen. Nyau de adriz
Licha ya nchi za ulaya Kuwa wanachama WA treaty tofauti lakini kuna free of movement ukiwa raia WA nchi hizo. Na Wana umoja. Mfano Norway na Ice land hawamo . E U wako Nordic na Schengen l@akini wako kelwenye treaty ya EEA ambayo wako huru. Kufanya kazi popote ulaya. Pia Switzerland na Liechtenstein hawapo EU lla wamo EEA. Bulgaria ,Romania na Republic of Ireland hawamo Schengen ila wamo EU. Bulgaria ipo mbioni kujiunga Schengen. Nyau de adriz
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,045 Reaction score 12,545 May 9, 2025 #22 Kote nimewapa maksi nzuri ila kwenye suala la China & Urusi sikubaliani nao kabisa.
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,791 Reaction score 15,016 May 9, 2025 #23 KENZY said: Nionyeshe... Click to expand... Si uende ukaijaze...! Unakwama wapi
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 May 9, 2025 #24 X_INTELLIGENCE said: Si uende ukaijaze...! Unakwama wapi Click to expand... hapahapa!