2013 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 11,360 Reaction score 6,069 Jan 6, 2016 #1 kwa kifupi sana..Elimu maarufu kwa jina "elimu ya kuunga unga". je hii Elimu inakufanya kua msomi au inakufanya kuwa weak ukilinganisha na lle ya moja kwamoja
kwa kifupi sana..Elimu maarufu kwa jina "elimu ya kuunga unga". je hii Elimu inakufanya kua msomi au inakufanya kuwa weak ukilinganisha na lle ya moja kwamoja
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 Mar 18, 2016 #2 Inakufanya kuwa msomi pia haijalishi umeunga unga kiasi gani mpaka kufanikisha
Bonesmen JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 929 Reaction score 992 Mar 18, 2016 #3 Anaejaribu zaidi ndo hufanikiwa na kuwa competence zaidii