Je Tutapona wenye wapenzi UDSM & Mzumbe?

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
552
Reaction score
104
Tathmini ya wanachuo waishio na VVU kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo UDSM ilikua 0.6%
Sasa hebu ona hii;
UDSM~2.3%
Mzumbe~200+
Kwa takwimu hii ambayo ni skeleton kwa namna flan ni kwamba Elimu imewakomboa au imewapoteza?
 
kwani chuoni kwenu veta takwimu zinasemaje.!??
 
Dah, roho inaniuma sana wakuu, ila potelea mbali, dunia tunapita..
 
  • Thanks
Reactions: KUN
Tathmini ya wanachuo waishio na VVU kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo UDSM ilikua 0.6%
Sasa hebu ona hii;
UDSM~2.3%
Mzumbe~200+
Kwa takwimu hii ambayo ni skeleton kwa namna flan ni kwamba Elimu imewakomboa au imewapoteza?

Mmeambiwa wanawake wanapatikana sehemu hizo mbili tu?
 
Embu lione, Kwani wewe ukienda chuo unafata mapenzi au kusoma??!!

na kwa uchunguzi wangu mdogo ni aghalabu sana mwanachuo kutoka na mwanachuo mwenzake, wengi wao wana wapenzi nje ya vyuo...
 
kupona mtapona kama mnajitunz na co kujifanya mafundi wa kubadilisha watoto wa kike na kiume,inawezekana, anza na wewe
 
Tathmini ya wanachuo waishio na VVU kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo UDSM ilikua 0.6%
Sasa hebu ona hii;
UDSM~2.3%
Mzumbe~200+
Kwa takwimu hii ambayo ni skeleton kwa namna flan ni kwamba Elimu imewakomboa au imewapoteza?

Sijaelewa data hizi.
ina maana Mzumbe increase is +200%?
Hebu weka sawa.
 
Embu lione, Kwani wewe ukienda chuo unafata mapenzi au kusoma??!!

na kwa uchunguzi wangu mdogo ni aghalabu sana mwanachuo kutoka na mwanachuo mwenzake, wengi wao wana wapenzi nje ya vyuo...

Hopeless kweli wewe. Hujawahi kuishi chuoni uone wanachuo wanavyochukuana eh?
 
Tathmini ya wanachuo waishio na VVU kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo UDSM ilikua 0.6%
Sasa hebu ona hii;
UDSM~2.3%
Mzumbe~200+
Kwa takwimu hii ambayo ni skeleton kwa namna flan ni kwamba Elimu imewakomboa au imewapoteza?

It is all about skills , knowledge, willingness, V.C.T and informed decision making. Kama unaangalia data ambayo ni appearance na unaacha attitude ambayo ndio essence.......count yourself included as part of increase in the coming round data presentation
 
Hiyo ni kazi ya bodi ya mikopo na CCM, watoto wawatu jawana mkwanja inawalazimu wewe wajasiliamali
 
Yah sure, I see it"
 
Katika ulimwengu wa sasa ni kuwa makini tu vijana...wakitoa takwimu za makanisani mtakimbia...za wilaya mtashangaa.....but walio wengi vyuoni wana mahusiano ya kawaida.....ila kuna wachache wanajiuza kabisa hasa UDSM...kuna hostel za kufoji survey na mlalakuwa wamegeuza guest usiku...unapigia humo humo....na hii imewafuata hata mademu walioko changanyikeni,golani,kibo na msewe....wengi wanagongwa na watu wa nje bora una pesa ya kumfanya apendeze mjini hapa....baadhi wanagawa kwa malecturers hasa CASS na UDBS.
 
Hiyo ni kazi ya bodi ya mikopo na CCM, watoto wawatu jawana mkwanja inawalazimu wewe wajasiliamali

Hapo hujakishughulisha kichwa chako kwenye kufikiri kwa maana hiyo, mtu huyu hata akimaliza chuo akiwa anasaka kazi ni wazi kwamba mambo yakiwa magumu mtaan basi ataendelea kujiuza na kama haitoshi hata akiolewa au akioa nyumbani kwake pakinuna ataenda jiuza ili apate chochote kitu.
So sad aseee na hufai kuigwa"
 
Tathmini ya wanachuo waishio na VVU kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo UDSM ilikua 0.6%
Sasa hebu ona hii;
UDSM~2.3%
Mzumbe~200+
Kwa takwimu hii ambayo ni skeleton kwa namna flan ni kwamba Elimu imewakomboa au imewapoteza?

Hivi unasema nini hapa? Kuna mtu anamwelewa anieleweshe?
 
Back
Top Bottom