Je Tutapona wenye wapenzi UDSM & Mzumbe?


People have details. People have experience! Lol
 
kwani Tanzania kama una ngoma unaruhusiwa kuendelea na masomo?
 
Hivi unasema nini hapa? Kuna mtu anamwelewa anieleweshe?

Utanielewa tu ukihtaji kuelewa lkn usikifanye kichwa kuwa kigumu kuelewa kama kina nusu maji, robo moshi na open space theluthi moja knachobaki ndo akili itakuchukua muda ila tufate taratibu tutaenda sawa"
 
Tatizo vijana wamezidi kuendesha na rim tu,watajuta...
 
usiaminikingahaisaidii kuwanammoja nakilammoja ajilinde kwaajiliyamwenzeke hakunalazaidi.
 
Kuna wengine wachumba zetu wanasoma pale.

weye mwenzangu na mie; kaazi kweli kweli unaeza jitunza huku mtaani kumbe mwenzio Lecturer kampnda ofisini kwa ajili ya kutaka 'A' na hapo ni kuuloeka tu hakuna kutumia Condom
 

mzeee naona umetiririkaaaaa si mchezo hawa mabinti ati...
 

unataka uishi milele kwani wewe mungu. Kwetu pazuri nimeshapakumbuka...
 
Vaeni Condoms nyie watoto,huko mnaonjana tu ni wachache mnakaoukuja kuoana,sasa jifanyeni mnasikilizia mfe.
 
ni mtazamo wake tu. wanafunzi wengi hawachukuani. utashangaa mwanachuo anamchukua mama lishe nk au anachukuliwa na mjasiriamali. so kila sehemu ni hatari tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…