Babb-Babbjrtz Member Joined Feb 13, 2012 Posts 57 Reaction score 7 May 28, 2012 #41 Wadau kuna budi kutafakari tatizo ni nini? Hao wanashawishika kutokana na serikali kuwaacha njiani, utasoma bila ya kula kweli?
Wadau kuna budi kutafakari tatizo ni nini? Hao wanashawishika kutokana na serikali kuwaacha njiani, utasoma bila ya kula kweli?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 28, 2012 #42 Rais wa awamu ya pili wa JMT Ndg Ali Hassan Mwinyi ashawahi kusema, "ukimwi Mwenyezi Mungu kauweka mahala pabaya sana...", hivyo wanafunzi wa vyuoni acheni ufuska la sivyo elimu mloipata itakuwa kazi bure.
Rais wa awamu ya pili wa JMT Ndg Ali Hassan Mwinyi ashawahi kusema, "ukimwi Mwenyezi Mungu kauweka mahala pabaya sana...", hivyo wanafunzi wa vyuoni acheni ufuska la sivyo elimu mloipata itakuwa kazi bure.
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 May 28, 2012 #43 Hizi tzkwimu zinz walakini sina hakika nazo mwenye source atusaidie.