Je! Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Fortaleza na wengineo ndani

Je! Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Fortaleza na wengineo ndani

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojiri Tanzania,.

Je, ni muda sasa kueleza matukio hayo kwa filamu?

Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Ikiwa wapo wataalamu wa masuala mbalimbali na kila aina ya watu hapa JF

Tunaweza kushuhudia kitu kutoka kwa Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Francis Da Don, FORTALEZA, Wa Stendi na wengineo?.

Kupitia Trailer hii utaona Waandaji na Watarishaji Casvi wakiwa wameshirikiana na Zero IQ Film huku Victoire Pictures na Extrovert Motions wakiwa wazalishaji wakuu.

Pia utaweza kuona Scars Cine na Da'Vinci wakihusika katika uchakataji wa filamu hii halkadhalika tutaona ushirikiano kutoka kwa Kawe Alumni na Barbosa. Huku isajorsergio akiwa ndiye mhusika mkuu na muongozaji wa filamu hii.

Katika filamu hii utawashudia wafuatao;-

Kiranga, Fortaleza, Zero IQ, Rebecca 83, Baba Swalehe, Samboko, Darmian, Manengelo, Scars, Sky Eclat, Proved, Wa Stendi na wengineo

Nisaidie kufanya Tags za hao walio katika hii video....

- Sérgi
 
Ili Taifa Kuna mahali limekwama. Jf ni kokoro linazoa chochote kile.Siku ukikutana na baadhi ya member humu unaweza kushaangaa, wengine walugaluga tu ila wakiwa nyuma ya keyboard basi ni wataalamu wa kila kitu mpaka unawaza kuwa uenda wametoka sayari nyingine.

Mfano Kuna jamaa alinifuata Pm akiniomba Msaada akijua wazi Mimi ni DAB bosi wa Dar eti kisa picha.Jamaa kanig'ag'ania kishenzi kumbe mimi mwenyewe wa kulia lia.

Hii Jf unaweza jua wote Wana Phd humu,au wote ni matajiri.Mwingine anaweza kuleta stori za ulaya kila siku ukajua yuko kwa Malkia kumbe yupo Buza kwa mpalange anaenda na google na kurudi na google.

Za kuambiwa changanya na zako.
 
Huyo jamaa anaitwa Kawe naona huduma ya buku 7 haipo kipindi cha sikukuu maana kanyamaza kweli.. Jama kila uzi anatabia ya kuwa wa kwanza kujibu hata kama hajasoma lakini siku ya tatu sasa simuoni
 
Huyo jamaa anaitwa Kawe naona huduma ya buku 7 haipo kipindi cha sikukuu maana kanyamaza kweli.. Jama kila uzi anatabia ya kuwa wa kwanza kujibu hata kama hajasoma lakini siku ya tatu sasa simuoni
Kibarua chake kimeota nyasi
 
Huyo jamaa anaitwa Kawe naona huduma ya buku 7 haipo kipindi cha sikukuu maana kanyamaza kweli.. Jama kila uzi anatabia ya kuwa wa kwanza kujibu hata kama hajasoma lakini siku ya tatu sasa simuoni
Na angelijua katika picha yetu hii anahusika angefika hapa mara moja.
 
Back
Top Bottom