Je! Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Fortaleza na wengineo ndani

Kwenye hiyo muvi naomba nishirikishwe nipangwe kwenye scene za kuuaua watu ,kwenye scene mojawapo ionekane nimepewa tenda ya kumuua gentamycine kwa kumrusha kutoka ghorofa ya 10
 
Kabsa Fiati, Kabsa mkuu maana katika hao aliowataja kuna mmoja namjua ni mluga luga hatari ukimuona live na nondo zake ni mbingu na ardhi kabsa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya marekebisho ya thread hivi sasa inayo maelezo mazuri.
 
Niyafanya critique na analysis ninauzoefu uliotukuka wa na usiotiliwa shaka ktk tasnia

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwenye hiyo muvi naomba nishirikishwe nipangwe kwenye scene za kuuaua watu ,kwenye scene mojawapo ionekane nimepewa tenda ya kumuua gentamycine kwa kumrusha kutoka ghorofa ya 10
 
Inategemea hii move inahusu nini[emoji23][emoji23]
 
Filamu ya sky eclat haina mvuto. Very predictable..ni hate! Hate! Hate! HateJPM..hamna kipya. Kama mnabisha subirini aachie muvi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu trailer nimeielewa sana!! Big up kwa ubunifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…