Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
Bidhaa ikipotea nani anawajibika? Au ndiyo wataanza kupasiana mpira tu.
Hapo ndipo E commerce za bongo zinapokwama sasa.Bidhaa ikipotea nani anawajibika? Au ndiyo wataanza kupasiana mpira tu.
Shida nyingine ni hii, wanao fungua account kama sellers ni ma winga, mteja akisema hii bidhaa siitaki ni mbovu, kubadilisha kipengele.Mwendo utakuwa ule ule kupasiana mpira km mbape,dembele na olisie