Je, tutegemee tozo kwenye miamala kwa sababu ya special operation kule Ukraine?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Bunge liko Dodoma tayari kujadili kama sio kupitisha mapendekezo ya budget za wizara mbalimbali.

Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 tuliona bunge likichukua mapendekezo ya Zungu kuweka tozo kwenye miamala ya simu ili kugharamia ujenzi wa zahanati, je mwaka huu wa fedha 2022/2023 tutegemee tozo nyingine kwenye miamala ya simu na bank ili kukabiliana na changamoto zilizoletwa na operation maalum isiyo na mwisho inayoendelea kule Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…