Hili nalo neno ! Siku hizi kila nchi au baadhi ya nchi zimekuwa na ubunifu inawezekana a majority of the raia living in are unaware of what its national animal.
Nakumbuka kuna vazi la Taifa ingawa sioni kupewa kipau mbele. Zaidi ya twiga inaweza wakaongezeka au kuongezwa,aongezwe Kima Punju. Ni wazo tu.
en.wikipedia.org