Je TWIGA Stars Imetelekezwa

BabaK

Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
14
Reaction score
0
Jumapili nilibahatika kuhudhlia pambano hati ya Timu ya mpira wa miguu Ethiopia "The LUCY" na twiga stars ya kwetu.baadaye katafrija kadogo Ubalozini kutokana na ushindi wao 3-1.
Kinachonishangaza mpaka majira ya saa tatu na nusu hivi tulipokuwa tunamalizia katafrija hako hakuna kiongozi yeyote wa chama cha mpira wa miguu Tanzania aliyeweza kutuma salamu za pongezi si kwa kocha au ubalozi kwa timu hiyo kupeperusha bendela ya taifa vizuri.Je imeterekezwa.
 
USiwategemee sana hawa viongozi wetu wa TFF, wapo kibiashara zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…