Je, Twitter wana double standard?

WaAfrica mambo yetu hayafiki mbali ni zima moto...
Wenzetu mambo yao wakiyaachia hua yanaleta madhara makubwa sana...


Mfano Malaria huishia Africa tu, ila Covid19 imesambaa dunia nzima...
Ila kama Covi19 ingeanzia Africa ingeishia huku huku...





Cc: mahondaw
 
Hoja gani, mbona uzi upo katika muktaza wa swali.
Sio kesi binaadamu huwa tunatofautiana uelewa kwahiyo wewe uliona ni swali unaweza ukajibu kama unalo jibu basi.
 
Ni mtandao wao mkuu, hawa hawa ndiyo waliacha na kuwahimiza watu waendelea kuhamasishana wakimtoe gadafi
 
Mkuu hapa umezungumza vitu vya muhimu sana. Kwakweli tunahitaji kongamano la kidunia kuhusu matumizi salama ya social networks. Kama kulivyo kuwa na mskongamano kuhusu haki za binadamu, haki za mateka nk, hili nalo linahitaji dunia kuwa na standard moja.
 
Sio kesi binaadamu huwa tunatofautiana uelewa kwahiyo wewe uliona ni swali unaweza ukajibu kama unalo jibu basi.
Usipaniki mkuu, humu kuna vi challenge vidogovidogo kama hivyo zoea tu kiongozi.
 
Twiter si shirika linalopokea misaada, si taasisi : ni mtu tu kama wewe, unahiari kuweka masharti yako kwenye biashara yako, no kuhoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…