Je? U.T.I inaambukiza.

Je? U.T.I inaambukiza.

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Salam kwa wana jf wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamishwa toka kwa wataalam wetu kuhusu ikiwa ugonjwa huu unaweza ambukizwa.

Pia ikiwa wana ndoa au mmoja wao akawa anaumwa UTI halafu akafanya tendo la ndoa na mwenzake anaweza mpatia. Kwa upate hasa wa wapenzi au wana ndoa,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote.
 
Salam kwa wana jf wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamishwa toka kwa wataalam wetu kuhusu ikiwa ugonjwa huu unaweza ambukizwa. Pia ikiwa wana ndoa au mmoja wao akawa anaumwa UTI halafu akafanya tendo la ndoa na mwenzake anaweza mpatia. Kwa upate hasa wa wapenzi au wana ndoa,Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote .

Yaa ni kweli ya kuwa ugonjwa wa U.T.I unaambukiza, kwa wanandoa kama mmoja amekutwa na huu ugonjwa inabidi na mwenzie naye akatibiwe bila hivo ugonjwa utaendelea kuwepo na utakuwa sugu na ukaleta madhara makubwa sana, kwa kifupi wote inabidi kupata matibabu ili kuutokomeza ugonjwa kwa wanandoa.
Ugonjwa huu sio kwamba ni ugonjwa wa zinaa, kwa hiyo ni vizuri ukioneka unatatizo la ugonjwa huu umtaarifu na mwenzio ili kupata matibabu kwa pamoja.

Kwa kweli wanaoshea hata vyombo vya kuogea, kutawadhia wapo very likely kupata gonjwa hili especially kwa wanafunzi vyuoni, mashuleni na nk.

Haya na maelekezo ambayo nilipewa na daktari maana nilipatikana na ugonjwa huu. Kila la heri.
 
Asante ndg.Lakini kuna wakati baadhi ya watu wasema mara ktk mkojo kuna uchafu hivi mkojo wawezakuwa na uchafu wa aina tofauti tofauti kama ndiyo je ni aina zote za uchafu zinaambukiza?
Kwasasa unaweza kusikia mtu mzima anasema nina shida ktk kibofu au mkojo si mzuri.
 
Back
Top Bottom