Yaa ni kweli ya kuwa ugonjwa wa U.T.I unaambukiza, kwa wanandoa kama mmoja amekutwa na huu ugonjwa inabidi na mwenzie naye akatibiwe bila hivo ugonjwa utaendelea kuwepo na utakuwa sugu na ukaleta madhara makubwa sana, kwa kifupi wote inabidi kupata matibabu ili kuutokomeza ugonjwa kwa wanandoa.
Ugonjwa huu sio kwamba ni ugonjwa wa zinaa, kwa hiyo ni vizuri ukioneka unatatizo la ugonjwa huu umtaarifu na mwenzio ili kupata matibabu kwa pamoja.
Kwa kweli wanaoshea hata vyombo vya kuogea, kutawadhia wapo very likely kupata gonjwa hili especially kwa wanafunzi vyuoni, mashuleni na nk.
Haya na maelekezo ambayo nilipewa na daktari maana nilipatikana na ugonjwa huu. Kila la heri.