REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nauliza wataalamu je tatizo la mkojo kuwa mchafu sana linaweza pelekea misuri ya uume kutosisimka kama awali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay, wadau wengine tunaomba michango yenuSiyo nguvu za kiume tu, hata kusababisha kutopata mtoto.
Okay,Ndiyo haswa tatizo likiwa sugu kumbuka sisi wanaume njia tunayotumia ni moja hiyo hiyo mkojo na wakati wa kutoa shahawa.