REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Jun 9, 2019 #1 Nauliza wataalamu je tatizo la mkojo kuwa mchafu sana linaweza pelekea misuri ya uume kutosisimka kama awali?
Nauliza wataalamu je tatizo la mkojo kuwa mchafu sana linaweza pelekea misuri ya uume kutosisimka kama awali?
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 Jun 9, 2019 #2 Siyo nguvu za kiume tu, hata kusababisha kutopata mtoto.
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Jun 9, 2019 Thread starter #3 SK2016 said: Siyo nguvu za kiume tu, hata kusababisha kutopata mtoto. Click to expand... okay, wadau wengine tunaomba michango yenu
SK2016 said: Siyo nguvu za kiume tu, hata kusababisha kutopata mtoto. Click to expand... okay, wadau wengine tunaomba michango yenu
clixus JF-Expert Member Joined Dec 4, 2016 Posts 813 Reaction score 628 Jun 9, 2019 #4 Ndiyo haswa tatizo likiwa sugu kumbuka sisi wanaume njia tunayotumia ni moja hiyo hiyo mkojo na wakati wa kutoa shahawa.
Ndiyo haswa tatizo likiwa sugu kumbuka sisi wanaume njia tunayotumia ni moja hiyo hiyo mkojo na wakati wa kutoa shahawa.
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Jun 10, 2019 Thread starter #5 clixus said: Ndiyo haswa tatizo likiwa sugu kumbuka sisi wanaume njia tunayotumia ni moja hiyo hiyo mkojo na wakati wa kutoa shahawa. Click to expand... Okay,
clixus said: Ndiyo haswa tatizo likiwa sugu kumbuka sisi wanaume njia tunayotumia ni moja hiyo hiyo mkojo na wakati wa kutoa shahawa. Click to expand... Okay,