Aliyekuwa kocha wa Yanga ametimuliwa kwa kutamka maneno yanayoaminika ni ya kibaguzi kwa mashabiki kwa kuwafananisha washabiki na nyani na mbwa kubweka bweka hovyo.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda wakati akikabidhi ofisi amesema wakati anafanya kazi kuna mbwa mwitu walikuwa wanabweka lakini sioni watu wakisema maneno ya kibaguzi.
Je, watu wapo kimya kuhusisha na ubaguzi kwakuwa Makonda ni mweusi mwenzetu?