mfano, kuku ukimkata kichwa ghafla ukamuachia anaweza hata kupaa! Je wakati huo anapotapatapa huku na kule anakuwa akihisi maumivu?kwasababu mwili unakuwa bado unauhai na misuli inakuwa inanguvu bado isipokuwa tu imekosa muongozo ama utaratibu ni sawa na gari la semi lipo kwenye mwendo halafu kichwa cha gari kitoke ghafla,body ya gari itaendelea kwenda maana iliachwa kwenye movement ila tu haitakwenda kwa muongozo sahihi!.
moja kati ya sifa ya uhai ni kwamba uhai haunaga sifa yakutulia uhai huwa unahangaika.
sijui!mfano, kuku ukimkata kichwa ghafla ukamuachia anaweza hata kupaa! Je wakati huo anapotapatapa huku na kule anakuwa akihisi maumivu?
Ndio binadamu hufa pale ubongo unapoacha kufanya kazi.kwakuwa ubongo ndio kila kitu, nilitegemea kwamba unapoondolewa hakuna chochote kinachoweza kufanyika tena
Hahahaha na Ulikuwa umeshapanikiKumbe jana nilikuwa nimepost kwenye jukwaa ambalo siyo uzi umehamishiwa huku! Haya karibuni!!
Hasikii maumivu.mfano, kuku ukimkata kichwa ghafla ukamuachia anaweza hata kupaa! Je wakati huo anapotapatapa huku na kule anakuwa akihisi maumivu?
vipi kama mtu akiwa at rest yaani velocity ni 0 halafu mtu huyo akafyekwa kichwa.kwasababu mwili unakuwa bado unauhai na misuli inakuwa inanguvu bado isipokuwa tu imekosa muongozo ama utaratibu ni sawa na gari la semi lipo kwenye mwendo halafu kichwa cha gari kitoke ghafla,body ya gari itaendelea kwenda maana iliachwa kwenye movement ila tu haitakwenda kwa muongozo sahihi!.
moja kati ya sifa ya uhai ni kwamba uhai haunaga sifa yakutulia uhai huwa unahangaika.
Ubongo bado unafanya kazi kama kusaidia kusumkuma damu.Matendo yanayofanyika kwa wakati huo yanaongozwa na nini?