Naomba wana Jf kuuliza baada ya selection ya f5 matangazo huwekwa wapi? Ni shule aliyosoma mwanafunzi, au kwenye media au ni wapi?
je kama mwanafunzi alichagua combination fulani, wakati wa selection wana zingatia uchaguzi wa mwanfunzi au namna alivyofaulu au matakwa ya wizara? Nisaidie katika hili ili nijue kama kuna haja ya kutafuta alternatives in case uchaguzi haukuzingatia mahitaji ya mwanafunzi.
Mwisho ni shule gani zinazofaa (zenye ubora) kwa wanafunzi wa EGM za serkali na binafsi.
Selection (shule +combinations) zinqwekwa kwenye mtandao wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi; ambayo ni WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::. Wakiweka utajua tu! Wanazingztia mapendekezo ya wanafunzi. Ila kuna ruhusa ya mwanafunzi kubadili, japo kuna mizengwe kibao. Kuhusu shule bora za EGM sina uhakiak. ELIMU NDIO URITHI WA KWELI...