Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujuzwa hivi akiwa mtu anadaiwa a certain course to clear anaruhusiwa i) kuhudhuria graduation? ii) kupewa transcript ama vyote haviwezekani?
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya kwani nahitaji hiyo transcript kwa sasa.
Transcripts inatolewa ni ww tu kuenda kwa Dean academic wa kitivo kama ni UDBS nenda na 2000 ya ku print na mhuri.
Mkuu nadhani umechanganya desa kati ya Transcripts na provisional result
Transcripts zimetoka mkuu nishaprocess ya kwangu unachotakiwa kufanya ni kuandaa passport size moja uje na vyeti vyako form 4 & 6 thn ulipie 15,000/= hizi fujo zoote zinafanyika utawala
Vip hata kama hujafanya clearles unaweza ku process trancript mzee
Hapana mkuu hadi umalize kufanya clearance
Naomba kujuzwa hivi akiwa mtu anadaiwa a certain course to clear anaruhusiwa i) kuhudhuria graduation? ii) kupewa transcript ama vyote haviwezekani?
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya kwani nahitaji hiyo transcript kwa sasa.
unachoweza kupata mda wowote ni provisional result statement ila transript ni hadi graduation na gamba lenyewe utakaa mwaka 1 ndipo upate. haijawahi kutokea kama unavyodai wew. labda vyuo vingine
Je kuna muda maalum ambao unatakiwa usubirie baadaye ya ku-request ili waprocess ndipo ukachukue? Nimeuliza hivyo maana kuna mdau alinihabarisha kuwa unasubiria siku 14