Je! UDSM wamenza kutoa Transcripts?

kiye

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
117
Reaction score
25
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya kwani nahitaji hiyo transcript kwa sasa.
 
Transcript hutolewa after graduation kiye
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu, lakin huu utaratibu umeanza sasa hivi mbona kipimd cha nyuma watu walikua wanapata before graduation ama nilikua naelewa vibaya?
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujuzwa hivi akiwa mtu anadaiwa a certain course to clear anaruhusiwa i) kuhudhuria graduation? ii) kupewa transcript ama vyote haviwezekani?
 
Vyote haviwezekani
 
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya kwani nahitaji hiyo transcript kwa sasa.

Transcripts inatolewa ni ww tu kuenda kwa Dean academic wa kitivo kama ni UDBS nenda na 2000 ya ku print na mhuri.
 
Mkuu nadhani umechanganya desa kati ya Transcripts na provisional result

Transcripts zimetoka mkuu nishaprocess ya kwangu unachotakiwa kufanya ni kuandaa passport size moja uje na vyeti vyako form 4 & 6 thn ulipie 15,000/= hizi fujo zoote zinafanyika utawala
 
Vip hata kama hujafanya clearles unaweza ku process trancript mzee
 
Hapana mkuu hadi umalize kufanya clearance

Je kuna muda maalum ambao unatakiwa usubirie baadaye ya ku-request ili waprocess ndipo ukachukue? Nimeuliza hivyo maana kuna mdau alinihabarisha kuwa unasubiria siku 14
 
Naomba kujuzwa hivi akiwa mtu anadaiwa a certain course to clear anaruhusiwa i) kuhudhuria graduation? ii) kupewa transcript ama vyote haviwezekani?

unachoweza kupata mda wowote ni provisional result statement ila transript ni hadi graduation na gamba lenyewe utakaa mwaka 1 ndipo upate. haijawahi kutokea kama unavyodai wew. labda vyuo vingine
 
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya kwani nahitaji hiyo transcript kwa sasa.

Ndio mkuu fuata utaratibu huu

UTARATIBU WA KUPATA ACADEMIC TRANSCRIPT
1.Uwe umemaliza clearence
2.baada ya kumaliza clearence nenda chumba namba 108 jengo la utawala kuomba trancript form
3.ijaze hiyo fomu
4.Kalipie bank tsh 15000
5.nenda chumba namba 200 muulizie mhusika anaechukua risit uliyolipia trancript fee
4.ukishaonana nae atakupa risit kuonesha kua umelipia
5.ambatanisha copy ya birh cerfificate, fom four academic results, form six academic result pamoja na passport 1 coloured then peleka chumba namba 108 jengo la utawala

Ahsanteni..
 
unachoweza kupata mda wowote ni provisional result statement ila transript ni hadi graduation na gamba lenyewe utakaa mwaka 1 ndipo upate. haijawahi kutokea kama unavyodai wew. labda vyuo vingine

Mkuu sio lazima gradu maana UDSM tumechukua Transcripts ila gradu ni Nov

Transcripts had umalize clearance pia lazima uwe huna carry over o sap
Ila Provisional muda wowote maana ni departmental results haitolewi na chuo
 
Je kuna muda maalum ambao unatakiwa usubirie baadaye ya ku-request ili waprocess ndipo ukachukue? Nimeuliza hivyo maana kuna mdau alinihabarisha kuwa unasubiria siku 14

Transcripts zinatoka baada ya siku tatu tangu unapoomba/kuiprocess

NB: Hii UDSM tu ndo najua
 
Ha haaaa nawaza tu Muce 7th Graduation ceremony afu ndo nitafute tokeo xaxa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…