Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Msaidie mwenzako hadi kaja mtandaoni maana yake anatafuta taarifa.Acha uvivu tafuta prospectus ya postgraduate studies UDSM kila kitu huwa wanaandika inapatikana kwenye tovuti ya chuo
Nimetumia muda mwingi jana bila mafanikio. Website yao ilikua inashidaAcha uvivu tafuta prospectus ya postgraduate studies UDSM kila kitu huwa wanaandika inapatikana kwenye tovuti ya chuo
UDSM hawana online course zaidi Wana option ya evening kwa hyo course so ushauri jarbu kutafta chuo huko huko mwanza kama wanatoa Masters unayo itaka au kama wataka online basi soma Open universityNimetumia muda mwingi jana bila mafanikio. Website yao ilikua inashida
Lakini pia ushauri/michango ya watu kuhusu experience yao na hii mada haipatiani katika prospectus
Wakuu,
Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?
Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance)
NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
Online course wanayoitoa UDSM ni Master of Engineering Management (Project Management) (MEM -PM), Postgraduate diploma of Engineering Management na Postgraduate Diploma ya Education (Chang'ombe). Hii kifupi ni Hybrid course ikimaanisha mnafundishwa online (Zoom) lakini katikati ya ya semister mnaenda two weeks kwa ajili ya face to face na kufanya majaribio. Mwishoni mwa semister pia mnaenda face to face week 2 kabla ya mtihani na wakati wa UE mnafanya same Examinations na watu wa full time na evening.Wakuu,
Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?
Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance)
NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
Mkuu, umenisaidia sanaa, nashukuru sana๐๐Online course wanayoitoa UDSM ni Master of Engineering Management (Project Management) (MEM -PM), Postgraduate diploma of Engineering Management na Postgraduate Diploma ya Education (Chang'ombe). Hii kifupi ni Hybrid course ikimaanisha mnafundishwa online lakini katikati ya ya semister mnaenda two weeks kwa ajili ya face to face na kufanya majaribio. Mwishoni mwa semister pia mnaenda face to face week 2 kabla ya mtihani na wakati wa UE mnafanya same Examinations na watu wa full time na evening.
Kwa degree program yako MBA, best option ni Arusha Institute of Accountancy. Huko utapata Hybrid/ online with face to face kwa course za MBA na Project Management.
Note: MEM - PM kwa UDSM inachukuliwa kama mbadala wa MBA lakini kwa watu waliosoma engineering au natural science degree yoyote unapata admissions. Hii ina management courses za kutosha pamoja na some business courses lakini iki specilize kwenye project management.
Hope nimekusaidia.
Asante.
Karibu sana kwenye mapambano ya uzeeni ๐๐Mkuu, umenisaidia sanaa, nashukuru sana๐๐