Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Hivi zile slides ambazo walimu vyuoni wanakimbizana kumaliza Kwa haraka huku wanafunzi wakishindana kukariri (Kuzima moto) zina Ufanisi wowote au tunazidi dumaza elimu yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasema [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi zile slides ambazo walimu vyuoni wanakimbizana kumaliza Kwa haraka huku wanafunzi wakishindana kukariri (Kuzima moto) zina Ufanisi wowote au tunazidi dumaza elimu yetu?
Ndilo ninalolielewa hili.Elimu ya Afrika ni biashara.
Zimekusaidiaje ndugu?Ndio zinaufanisi mimi kama injinia zimenisaidia sana katika kazi zangu.
Kila kitu nachofanya kazini kina relate na nilivyosoma darasani.Zimekusaidiaje ndugu?