Kwanza nawashangaa wanapolinganisha ufaulu wa mwaka jana na ufaulu wa mwaka huu,wakati mwaka jana walitumia divisions,mwaka huu wametumia GPA,pia Alama za Mwenye A wa mwaka jana sio sawa na mwenye A wa mwaka huu,i mean madaraja yaliyotumika mwaka jana sio sawa na yaliyotumika mwaka huu,kwa nini wafananishe?Wasubiri kufananisha matokeo ya mwaka huu na mwaka ujao.