Je Ufisadi ni kutokana na baadhi ya Watanzania kujiona wanahaki zaidi ya wengine?

Je Ufisadi ni kutokana na baadhi ya Watanzania kujiona wanahaki zaidi ya wengine?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Suala la ufisadi sasa si geni tena hapa tanzania,na chimbuko lake ni baadhi ya Watanzania kugundulika kuhujumu uchumi wa nchi.Kumekuwa na wanaopinga ufisadi na wanaotetea ufisadi,matukio mbalimbali yamekuwa yakiwapata pande zote,tena mengine ni matukio ya kuhatarisha maisha ya wahusika.Hivi ni kwanini ni vigumu sana kuungwa mkono kwa wanaosema ukweli juu ya ufisadi na badala yake nguvu ya fedha ndio hufanya kazi?Je Nchi yenye jamii ya aina hii itaendelea haraka au kwa kusuasua?Wana JF tuelimishane.
 
Back
Top Bottom